Ziara ya mabalozi kutoka nchi za Umoja wa Ulaya.
Mkuu wa chuo Ndg. Augustine J. Sahili akiwa sambamba na baadhi ya wafanyakazi wa Chuo cha Ualimu Morogoro wakiwapokea wageni...
Mkuu wa chuo Ndg. Augustine J. Sahili akiwa sambamba na baadhi ya wafanyakazi wa Chuo cha Ualimu Morogoro wakiwapokea wageni...
Chuo cha Ualimu Morogoro kilifurahia tukio la kipekee la Mahafali ya 53, ambapo jumla ya wahitimu 354 walitambuliwa kwa mafanikio...
Uongozi wa Chuo cha Ualimu Morogoro unao furaha sana kuwakaribisha katika mahafali ya 53. Sherehe hizi zitafanyika katika ukumbi wa...
Warsha hii imehusisha majadiliano juu ya utekelezaji wa shughuli zilizotekelezwa na mradi wa TESP kwa kila chuo ili kutoa fursha...
Chuo cha Ualimu Morogoro kimefanikiwa kufanya uchaguzi wa Serikali ya Wanachuo kwa kupitia mtandao (Online Election System).Mafanikio haya yamechochewa na...
https://www.youtube.com/watch?v=BVkrE1edsTI Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikishirikiana na mradi wa TESP umefanya maboresho ya miundombinu na vifaa vya ujifunzaji...
Shirika la Lyra in Africa yakabidhi komputa za msaada katika Chuo Cha Ualimu Morogoro. Mahusiano na Ushirikiano mzuri baina ya...
MAFUNZO KABILISHI KUHUSU MTAALA ULIOBORESHWA Mafunzo kabilishi kwa wakufunzi wa Chuo cha Ualimu Morogoro yaliyoanza tarehe 16 - 17/04/2024 na...