Warsha ya wakuu wa vyuo vya ualimu na waratibu wa dawati la jinsia na ujumuishi.

1
PXL_20240422_060307525.RAW-01.COVER

Warsha hii imehusisha majadiliano juu ya utekelezaji wa shughuli zilizotekelezwa na mradi wa TESP kwa kila chuo ili kutoa fursha ya kujifunza kutokana na matokeo na tathmini.

Mradi wa TESP ulianzishwa mwaka —— kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Mradi umetoa mchango mkubwa sana kwa vyuo vya ualimu ha nchini. 

PXL_20240423_130836353.RAW-01.COVER
Mkurugenzi wa mafunzo ya Ualimu Bw. Huruma E. Mageni akizungumza na washiriki wa warsha ambao ni wakuu wa vyuo na waratibu wa dawati la jinsia na ujumuishi.

Ujenzi, ukarabati wa majengo na miundombinu, matumizi endelevu ya TEHAMA, utunzaji wa mazingira, usawa wa kijinsia na ujumuishi, utoaji wa mafunzo endelevu ya ndani; ni baadhi ya maeneo ambayo mradi wa TESP umegusa.

1 thought on “Warsha ya wakuu wa vyuo vya ualimu na waratibu wa dawati la jinsia na ujumuishi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *