Makala fupi ya maboresho yaliyofanyika katika Chuo cha Ualimu Morogoro.

1
PXL_20240403_045846090

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikishirikiana na mradi wa TESP umefanya maboresho ya miundombinu na vifaa vya ujifunzaji na ufundisha.

Makamu Mkuu wa Chuo Ndg. Ngwambazi R. Magubike alielezea historia fupi ya chuo na kuongelea maboresho yaliyofanyika katika chuo hiki.

1 thought on “Makala fupi ya maboresho yaliyofanyika katika Chuo cha Ualimu Morogoro.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *