Mwaliko wa sherehe za mahafali ya 53 ya Chuo cha Ualimu Morogoro

0

Uongozi wa Chuo cha Ualimu Morogoro unao furaha sana kuwakaribisha katika mahafali ya 53.

Sherehe hizi zitafanyika katika ukumbi wa Franken ndani chuoni, Chuo cha Ualimu Morogoro.

Pamoja na mualiko huu sherehe za ndani za vikundi vya dini na mabweni zimefanyika kusindikiza mahafali haya ya 53 chuoni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *